TAARIFA YA MSIBA
TAARIFA YA MSIBA
Familia ya Elianshisauo Shoo inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa, Bi. Shaweraisaria Shoo kilichotokea tarehe 14.05.2020 Arusha. Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote wa Familia, mazishi yatafanyika tarehe 19.05.2020 (jumanne) Machame Lyamungo Kati .
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment