Ads Right Header

Buy template blogger

DUH! SALAH KWA MASHUTI YALILONGA LANGO ANAKIMBIZA KWELI

DUH! SALAH KWA MASHUTI YALILONGA LANGO ANAKIMBIZA KWELI


MOHAMED Salah, mshambuliaji wa Liverpool amepiga mashuti mengi zaidi yaliyolenga lango kuliko wachezaji wote kwenye Premier msimu huu wa 2019/20.

Iwapo yangejaa nyavuni angekuwa na jumla ya mabao 43 kwa sasa kwani ndiyo idadi ya mashuti yaliyolenga lango.

Amefunga jumla ya mabao 16 na kutoa pasi sita za mabao msimu huu akiwa ndani ya Liverpool.

Ametumia dakika 2,246 akiwa ana wastani wa kufunga bao moja kila baada ya dakika 140.
Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4