Maombolezo ya Kitaifa ya siku 3 kufuatia kifo cha Nkurunziza kuanza leo Tanzania
Rais Magufuli ametangaza maombolezo ya Kitaifa ya siku 3 kuanzia leo June 13 kufuatia kifo cha Rais Nkurunziza kilichotokea June 09 Burundi,katika kipindi chote cha siku 3 za maombolezo ya Kitaifa kuanzia Jumamosi June 13 hadi Jumatatu June 15 bendera zote zitapepea nusu mlingoti.
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment