Ads Right Header

Buy template blogger

Rais Magufuli “Wanaotaka kugombea wajitathmini kama wanatosha”



Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt Magufuli amewataka wanachama wote wa chama hicho wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kujitathmini na kujiridhisha kama wanatosha kugombea nafasi wanazoomba.

Mwenyekiti huyo amesema hayo alipokuwa akikagua kumbi za Kituo cha Mikutano Dodoma (Jakaya Kikwete Hall) ambako utafanyika Mkutano Mkuu wa CCM, na amesisitiza kauli yake aliyowahi kuitoa kuwa uchaguzi mkuu upo pale pale.

“Chama chetu kinayo demokrasia ya kutosha, lakini demokrasia hii ndani ya chama isije ikatumika kuleta fujo, kutugombanisha na kukiumiza chama, tuweke maslahi ya chama mbele na tutumie nafasi hii kukiimarisha chama chetu,” Rais Magufuli.

  NAFASI MPYA ZA KAZI KWA WENYE ELIMU KUANZIA DARASA LA SABA ,KIDATO CHA NNE,CERTIFICATE,DIPLOMA,DEGREE NA KUENDELEA ZIPATE KUPITIA AJIRA FORUM APP 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4