Rich Mavoko ni mjeshi, amepigana sana- Darasa
Rich Mavoko mwenyewe ndio anaweza kuongea kuhusu yeye, ila naamini yeye ni Mwanajeshi na ameshapigana sana kwenye njia yake, ameshafanya vitu vingi kwenye maisha yake, naamini kipaji chake nataka kumuona, mara ya mwisho tulikutana studio tunafanya 'project' kwa Abba na alikuwa yupo poa tu, unajua hataki tu kujionyesha" amesema Darasa
Leave Comments
Post a Comment