Werder Bremen wachungulia ligi ya daraja la pili baada ya kupoteza 1 - 0
Na katika michezo, Werder Bremen, wanachungulia kandanda la ligi ya daraja la pili ya Bundesliga kwa mara yao ya kwanza kabisa katika historia.
Schalke 04 nayo ilijiwekea rekodi yake mbovu ya kutopata ushindi katika mechi 12 mfululizo, kwa kutoka sare ya 1 - 1 na Union Berlin.
FC Augsburg walitoka sare ya 1 - 1 na FC Köln katika mechi ya mwisho jana jioni. Katika michezo hiyo, wachezaji waliendelea kuonyesha mshikamano na maandamano yanayoendelea ulimwenguni yakianzia Marekani ya kupinga ubaguzi wa rangi.
NAFASI MPYA ZA KAZI KWA WENYE ELIMU KUANZIA DARASA LA SABA ,KIDATO CHA NNE,CERTIFICATE,DIPLOMA,DEGREE NA KUENDELEA ZIPATE KUPITIA AJIRA FORUM APP 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment