Friday, 28 March

Ads Right Header

Buy template blogger

DI MARIA: BARCELONA WALITAKA KUNISAJILI KITAMBO

DI MARIA: BARCELONA WALITAKA KUNISAJILI KITAMBO

Kiungo wa Klabu ya PSG, Angel Di Maria amesema kuwa Barcelona walitaka kumsajili 2017.

Ubora wa kiungo huyo umezivutia timu nyingi ambazo zinahaha kupata saini yake ikiwa ni pamoja na Barcelona.

Di Maria amesema kuwa Barcelona walimfuata 2017 ila aligoma kusaini dili lao kwa kuwa Klabu ya PSG iligoma kumruhusu.

"Barca walijaribu kunisajili lakini mwisho wa siku klabu zote zilijadili na PSG ikagoma kuniruhusu kuondoka," amesema.
Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4