DKT MPANGO NAE NDANI,AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA BUHIGWE MKOANI KIGOMA.
DKT MPANGO NAE NDANI,AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA BUHIGWE MKOANI KIGOMA.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango akionesha fomu ya kuwania kuteuliwa kugombe ubunge Jimbo la Buhigwe Mkoa wa Kigoma kupitia CCM. Mbunge anayemaliza muda wake wa jimbo hilo ni Albert Obama wa CCM.
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment