PROF.KAPUYA AJITOSA KUGOMBEA JIMBO LA KALIUA,URAMBO MKOANI TABORA
Leo tarehe Julai 14/2020 Prof Juma Kapuya amewasili kwenye ofisi za Chama Cha CCM,mjini humo na kuchukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la kaliua,Urambo mkoani Tabora akiwa ameambatana na Mkewe pichani kulia
Next article
Leave Comments
Post a Comment