FREDRICK LOWASSA ACHUKUA FOMU KUWANIA JIMBO LA MONDULI
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Monduli, Langael Akyoo, leo Jumanne Julai 14, akimkabidhi Fredrick Lowassa fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho ya kugombea ubunge wa Jimbo la Monduli
Leave Comments
Post a Comment