Ads Right Header

Buy template blogger

FT: SIMBA 5-1 ALLIANCE FC

FT: SIMBA 5-1 ALLIANCE FC

SIMBA imeibuka na ushindi wa mabao 5-1 mbele ya Alliance FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliokamilika Uwanja wa Taifa.

Meddie Kagere ametupia mabao mawili ambapo alifunga la Kwanza kwa penalti dakika 24 kwa penalti na dakika ya 44 huku Luis Miqussone akifunga dakika 63 na Deo Kanda dakika ya 66.

Said Ndemla amefunga bao la 5 dakika ya 87.

Martin Kigi alifunga bao kwa upande wa Alliance dakika  38.

Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4