HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOWAVAA SIMBA KESHO, MOLINGA NDANI
KESHO Uwanja wa Taifa, Julai 12 kutakuwa na mchezo wa kukata na shoka kati ya Simba na Yanga wa hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho.
Yanga ilitinga hatua hiyo baada ya kushinda mabao 2-1 mbele ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali uliochezwa Uwanja wa Taifa.
Kwa mujibu wa Championi Jumatano wamewapa nafasi wachezaji hawa hapa wa Yanga kuwa wataanza kwenye kikosi cha kwanza kesho:-
Metacha Mnata
Jaffar Mohamed
Juma Makapu
Lamine Moro
Juma Abdul
Haruna Niyonzima
Fei Toto
Kelvin Yondani
Bernard Morrison
Ditram Nchimbi
David Molinga
Leave Comments
Post a Comment