JESHI KAMILI LA SIMBA LINALOTARAJIWA KUWAVAA YANGA KESHO TAIFA HILI HAPA, SHAMTE NDANI
KESHO Julai 12 Uwanja wa Taifa wababe wawili Simba na Yanga watakuwa kazini kusaka nafasi ya kupenya hatua ya fainai ya Kombe la Shirikisho.
Simba ilitinga hatua hio baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Azam FC , Julai Mosi, Uwanja wa Taifa.
Kwa mujibu wa gazeti la Championi Jumatano imeandika kikoso ambacho kinapewa nafasi ya kuanza kesho, Uwanja wa Taifa itakuwa namna hii kwa Simba:-
Aishi Manula
Haruna Shamte
Pascal Wawa
Erasto Nyoni
Mohamed Hussein, 'Thabalala'
Luis
Jonas Mkude
Gerson Fraga
Francis Kahata
John Bocco
Clatous Chama
Leave Comments
Post a Comment