KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA KARIAKOO JIJINI DAR

Mjasiriamali wa Mahindi akiwahudumia wateja wake kama inavyoonekana pichani leo Kariakoo wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaa.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Mjasiriamali akiwahudumia wateja wake waliotoka maeneo mbalimbali kununua mahitaji yao Karikoo wilaya ya Illa leo Jijini Dar es Salaam,kama anavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Wajasiriamali wakiendela na kazi zao ndani ya soko la Kariakoo wilaya ya Ilala leo jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Previous article
Leave Comments
Post a Comment