HomeMGOMBEA ADAI KUWA NA CV BORA ZAIDI,AIWASILISHA CCM WAKATI AKIREJESHA FOMU.MGOMBEA ADAI KUWA NA CV BORA ZAIDI,AIWASILISHA CCM WAKATI AKIREJESHA FOMU.
MGOMBEA ADAI KUWA NA CV BORA ZAIDI,AIWASILISHA CCM WAKATI AKIREJESHA FOMU.
MGOMBEA ADAI KUWA NA CV BORA ZAIDI,AIWASILISHA CCM WAKATI AKIREJESHA FOMU.
Na Dixon Busagaga,Moshi
"Hii NI CV Bora kabisa miongoni mwa wote waliochukua fomu kuwania nafasi za ubunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi " haya ni maneno ya Kada wa Chama Cha Mapinduzi Honest Malle wakati akirejesha fomu za kuwania Ubunge katika jimbo la Vunjo ndani ya Chama Cha Mapinduzi.
Leave Comments
Post a Comment