MKUTANO WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA WAFANYIKA JIJINI DAR LEO
MKUTANO WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA WAFANYIKA JIJINI DAR LEO
Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji (mstaafu) Dkt. Steven J. Bwana (kulia) akiongoza Mkutano wa Tume (leo) unaofanyika jijini Dar es Salaam kutolea uamuzi wa Rufaa na Malalamiko ya watumishi wa umma yaliyowasilishwa Tume. Kushoto kwake ni Makamishna wa Tume, Mhe. George Yambesi, Mhe. Balozi (mstaafu) John Haule na Mhe. Balozi (mstaafu) Daniel Ole Njoolay. (Picha na PSC).
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment