MTAANI KWETU NDANI YA TEMEKE JIJINI DAR, BEI ZA VITU MBALIMBALI
Bei ya fungu la Mihongo ni shilingi 500 katika soko la Tandika Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, kama unavyoonekana pichani.
Picha na Emmanuel Massaka, Michuzi tv
Picha na Emmanuel Massaka, Michuzi tv
Bei ya Viungo mbalimbali katika soko la Tandika wilay ya Temeke jijini Dar es Salaam kama unavyoonekana pichani.
Bei ya Machungwa shilingi 50 katika soko la Tandika wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Leave Comments
Post a Comment