Ads Right Header

Buy template blogger

SURE BOY AREJEA NDANI YA UWANJA

SURE BOY AREJEA NDANI YA UWANJA

SALUM Abubakar 'Sure Boy',kiungo mzawa anayekipiga ndani ya Azam FC ameanza mazoezi ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Aristica Cioaba.

Sure Boy alianza mazoezi jana, Uwanja wa Azam Complex na wachezaji wenzanke ambao wanajiaandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida United.

Mchezo huo utachezwa Uwanja wa Chamazi majira ya saa 1:00 usiku.

Sure Boy alikuwa akisumbuliwa na majeraha ya kisigino, yaliyomuweka nje ya Uwanja takribani wiki mbili.


Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4