VPL LEO HIZI HAPA ZINAKIWASHA KUSAKA POINTI TATU
LEO Julai 5 hizi hapa za Ligi Kuu Bara:-
Namungo FC v JKT Tanzania, Uwanja wa Majaliwa
Kagera v Ruvu Shooting, Uwanja wa Kaitaba.
KMC v Mwadui, Uwanja wa Chamazi.
Mbao v Lipuli, Uwanja wa CCM Kirumba.
Tanzania Prisons v Polisi Tanzania, Uwanja wa Sokoine.
Zinapigwa saa 10 jioni.
Leave Comments
Post a Comment