Ads Right Header

Buy template blogger

BREAKING: MAJINA MENGINE SABA YANGA HAYA HAPA WAPO KWENYE MAZUNGUMZO KUSITISHA MKATABA WAO

BREAKING: MAJINA MENGINE SABA YANGA HAYA HAPA WAPO KWENYE MAZUNGUMZO KUSITISHA MKATABA WAO

UONGOZI wa Yanga imeelezwa kuwa upo kwenye mazungumzo na nyota wake saba ambao bado wana mkataba na timu hiyo ili waweze kusitisha nao mikataba.

Nyota hao ni pamoja na:-Alli Mtoni,'Sonso', ambaye ni beki ingizo jipya kutoka Lipuli, Muharam Issa, Alli Alli ambaye ni beki naye ni ingizo jipya kutoka KMC.

 Yikpe Gnamien mshambuliaji mwili jumba ingizo jipya kutoka Gor Mahia, Patrick Sibomana mshambuliaji raia wa Rwanda, Erick Kabamba kiungo mshambuliaji raia wa Msumbiji na Rafael Daud mzawa mshambuliaji.
Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4