ISHU YA WAKONGWE JUMA ABDUL NA KELVIN YONDANI IPO HIVI

KELVIN Yondani na nahodha msaidizi wa Klabu ya Yanga, Juma Abdul wapo kwenye mazungumzo na Klabu ya Yanga ili waongeze muda wa kuitumikia klabu hiyo.
Wakongwe hao mikataba yao muda wao ndani ya Yanga umeisha hivyo uongozi unazungumza nao ili wabaki ndani ya kikosi hicho.
Yondani amekuwa ni mkongwe kwa muda mrefu na amekuwa akionyesha uzoefu wake ndani ya uwanja.
Abdul, amezidi kuwa kwenye ubora wake ambapo msimu huu ametoa jumla ya pasi sita za mabao kwa guu lake la kulia.

Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment