BREAKING: YASSIN MUSTAPHA ASAINI YANGA KUTOKA POLISI TANZANIA
Breaking: Yassin Mustapha nyota wa Polisi Tanzania leo Agosti Mosi, amesaini dili jipya kuitumikia Yanga.
Mchezaji huyo aliyekuwa ananolewa na Malale Hamsini anakuwa ni wa tatu kutambulishwa rasmi ndani ya kikosi cha Yanga.
Mchezaji wa kwanza alikuwa ni Zawad Mauya kutoka Kagera Sugar akafuata Bakari Mwamnyeto kisha Mustapha.
Leave Comments
Post a Comment