Ads Right Header

Buy template blogger

MASHARTI MENGI yana tufanya vijana wa leo tuchelewe au kukosa kabisa KUOA/KUOLEWA

 

kwa kuwa ktk kuchagua mwenza wa kudumu nae tuna tumia vigezo vingi utafikiri sisi ndo tume umba dunia-- una hitaj mpenz awe na sifa hizi: :

_mcha Mungu awe dini yako
_Handsome/Beautiful
_Mweupe,mrefu,mwenye makalio
_Msomi,mwenye pesa,mwenye gari
_Ambae hajawahi zaa/Hana mtoto
_Mara unataka harusi kubwa

matokeo yake una jikuta kila baada ya miez una badili wapenz kwa madai kuwa natafuta mwenye kuendana nami

WAZUR wa sura na maumbo weng sana-wenye PESA na kaz nzur wamejaa tele-wanao jifanya wana mjua mungu kila kona wapo ila maisha yao yamejaa unafiki maana huwa ni WAHUNI kupita maelezo

huwez mpata mwenye sifa zote unazo taka maana hakuna MKAMILIFU-Jali Furaha Yako kwa Kuwa Na Mtu Ambae ataweza

_kukupenda
_kukuheshimu
_kukuelewa
_Kukujali na kukuvumilia

Sio rahis kuzikuta sifa zote kwa mtu mmoja kuna uwezekano mkubwa kumkuta na kasoro zingine..
Upendo na heshima kisha uaminifu,mengine ziada tu

Image may contain: 1 person, standing and shoes

Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4