Ads Right Header

Buy template blogger

KAMA Upo Kwenye NDOA HAUJAWEKA HII.. BASI SAHAU

 PHOTOS: African couple eating at wedding goes viral - Prime News Ghana

Lazima uamini kwamba ndoa yenu itadumu na hakuna kitu kinaitwa talaka na talaka haitakubalika kamwe.


Ni muhimu sana ujiamini kwamba mwenza wako (mume wako au mke wako) anakupenda sana kama wewe unavyompenda yeye hata kama haoneshi kwamba anakupenda ila amino kwamba anakupenda sana ndio maana amekuchagua we were. Fahamu hivyo na amini hivyo.


KAna ukiweka hii katika ndoa yako, huwezi kuyumbishwa na upepo wa mashaka na hofu wakati kunajitokeza kutoelewana. Kwa njia hii itakuwa rahisi kuirudisha ndoa yako kwenye mstari.

 

Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4