Ads Right Header

Buy template blogger

Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

 Image result for SHANGANaweza kusema ni state of mind pale unapoona kiuno cha kike shanga zimeonekana kidoogo! Kile kimuhemuhe na ashiki unayopata na mawazo yako unakoyapeleka.

Shanga ni kivutio cha asili kwenye mapenzi kitandani lakini si kila mmoja wetu ni mpenzi wa shanga ama anajua kuzitumia vema na akaburudika.
Related image
Shanga hazivaliwi tu kama kuvaa, kuna rangi kuna idadi... Mara nyingi huwezi kukuta binti kavaa shanga nyeupe.... Shanga kwa uchache huvaliwa 3 na kwa wingi kabisa 32.

Si kila kiuno cha mwanamke kinafaa kuvishwa shanga, ni lazima kiuno kibebe umbo la kike hapo ndio shanga zitaleta maana na hasa zikipata fundi wa kuzichezea (kama jr    )

PATA AJIRA YA NDOTO YAKO LEO PAKUA APP YA AJIRAFORUM HAPA

Na si kila mpenzi ni mpenzi wa shanga kwahiyo shanga hazivaliwi kama fasheni kama tunavyowaona mabinti wengi siku hizi wakiwa na ushanga mmoja wa gold shaba ama madini mengine.
Related image
Mwanamke mtundu na mwizi wa mahaba anajua vema kuziviringa chini ya kiuno cha mwanaume na mwanaume akachanganyikiwa kabisa! matumizi ya shanga ni sanaa ya aina yake kabisa ni ufundi ni utundu.

Usivae ushanga/shanga kama hujui matumizi yake utatia aibu na wewe kama hujui jinsi ya kucheza nazo ziache kama zilivyo kaka utajikuta umezikata zote na kupewa adhabu ya kuziokota na kuunga zote.

TEMBELEA WEBSITE YA AJIRAFORUM.COM  KUSOMA  NAFASI ZA KAZI ZILIZOTANGAZWA LEO

Kitu kingine muhimu kabisa kwenye shanga ni usafi mwanamke mchafu daima havai shanga zitamnukia azidi kuonekana wa hovyo.
Related image
Je wako anazo kiunoni? Ngapi? Unajua kuzitumia?       ya Tanga waachieni wajuzi wake asijekwambia anataka kunku ukajua ni nyama ya kuku  

Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4