MPANDA: UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA MAJI WAONYESHA MATOKEO
Afisa Maendeleo ya Jamii, Wizara ya Maji Bi. Mwajuma Lugendo (kulia) akiwa na baadhi ya wakazi wa Kibaoni, mjini Mpanda akiwapa maelezo ya msingi kuhusu ushiriki wa jamii katika kuhakikisha uendelevu wa miradi ya maji na huduma ya maji katika makazi yao.

Jicho la ndege, taswira kutoka juu ya baadhi ya viunga vya mji wa Mpanda ambapo wakazi wake watapata huduma ya Majisafi, salama na yenye kutosheleza kwa saa 24. Hali ya upatikanaji maji kwa wananchi mjini Mpanda imeimarishwa na imepanda kutoka asilimia 8 ya mwaka 2016 hadi kufikia asiimia 75 mwaka 2020.
Previous article
Leave Comments
Post a Comment