Monday, 17 March

Ads Right Header

Buy template blogger

NDOA HAINA MWENYEWE ANGALIA WATU WANAOOA AU KUOLEWA

Ukitaka Kujua NDOA HAINA mwenyewe angalia watu wanaoolewa na kuoa...Ni wale usiowategemea kabisaaaaaaaa
Ndoa haina Kanuni...Kwamba ukifuata Stage 1,Ukavuka Stage 2 basi unaqualify...WALAAAA
Kuna watu na Bikira zao(kama Mimi) na watu hawana habari nao kabisaaaaa
ILA kuna watu 'wametumika' mpaka Mshale wa Kilomita umeungua,hausomi,lakini kabla ya September mwaka huu, vidole vyao vitakua vinang'aa kwa bati takatifu la dhahabu
Watu wanaloga waolewe...UTASANDA

Wengine wanapretend ili Wawavutie watu flani...UTASUBIRI SANA
Ndoa ni Blessing from God na ni kitu kitakatifu...Ni Mpaka Mungu aaandike,aruhusu...HAINA MBINU
Just BE URSELF mtu akupende na akuoe kama ulivyo,Usimuonyeshe wewe ni Mwekundu ili akupende halafu aje agundue wewe ni wa Pink
UTAKUWA MJANE KIJANA BAADA YA 3YEARS!

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4