Tuesday, 18 March

Ads Right Header

Buy template blogger

Je, ni nini siri ya mwanamke kuwa moto kitandani na mume wake? _







_ 🍇Ukweli si size wala shape wala appearance (muonekano) ya mwanamke ndiyo inayo dhihirisha ufundi wake kitandani bali mtazamo kuhusu tendo la ndoa ndio msingi unaoweza kuelezea
 mafanikio na kushindwa kitandani. 
_

_ 🍇Kama mwanamke anaamini kufanya mapenzi ni uchafu au ni kitu kibaya au mtazamo wowote potofu katika ndoa hataweza kuleta furaha ya kweli. 
_

_ 🍇Kama anaamini matiti yake ni madogo sana au makubwa kupita kiasi ambacho hawezi kufurahia kufanya mapenzi ni kweli hataweza kufurahia na anaweza kukosa feelings za kweli kuhusu mapenzi ndani ya ndoa. 
_

_ 🍇Kama anaamini skills zake katika kufanya mapenzi ni pungufu basi hataweza kufurahia raha ya tendo la ndoa. 🍇Kama anaamini mwili wake upo ovyo kiasi kwamba hawezi kuwa uchi mbele ya mume wake basi ni dhahiri faragha na mumewe imeingiliwa. 
_

_ 🍇Maumbile au muonekano wa mtu si msingi  mkuu wa wanandoa kufurahia mapenzi bali jinsi wanavyofikiria au mtazamo wao kuhusu tendo la ndoa. 🍇Hii ina maana unaweza kuwa na size, shape na appearance tofauti au yenye hitilafu kwa mtazamo wa jamii lakini ukiwa na mtazamo (binafsi) mzuri kuhusu mapenzi unaweza kufurahia tendo la ndoa kwa njia ya ajabu sana na unaweza kuwa moto kitandani na mumeo kukufurahia.
JIAMINI MTOTO WA KIKE.




  NAFASI MPYA ZA KAZI KWA WENYE ELIMU KUANZIA DARASA LA SABA ,KIDATO CHA NNE,CERTIFICATE,DIPLOMA,DEGREE NA KUENDELEA ZIPATE KUPITIA AJIRA FORUM APP 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4