Tuesday, 18 March

Ads Right Header

Buy template blogger

Mwamshe mumeo kwa mahaba honey , sweety ,love amka kumekucha usije ukachelewa kazini. msidikize bafuni huku umemshika kwenye kiuno au mabegani





Mwamshe mumeo kwa mahaba honey , sweety ,love amka kumekucha usije ukachelewa kazini. msidikize bafuni huku umemshika kwenye kiuno au mabegani. unaweza kumkosha au akaoga mwenyewe.lakini akioga mwenyewe ni boora zaid ili wee muda huu unaandaa Break fast na kuweka  dinning room kwa ajili ya mume.  kabla hajatoka bwana bafuni  hakiisha kitanda umekitanda japo kwa haraka haraka baade utakuja kutandika kwa kituo na  uzuri. 
_

_ 💟: Mnyooshe nguo zake za kazi na ziweke tayari ili akitoka bafuni avae na  mnasaidiana katika kuvalishana, za kuvaa nguo  msaidiekuvaa,mfano,unamsaidia kufunga vifungo vya shati,kutengenezea tai weka ukosi sawa kama tai mfunge  mvalishe N.k . Mkimaliza msifie bwana "oh baby you looks so cute love. mpe kiss moja kali sana. 
_

_ 💟 Mshike mabega or kiuno mkielekea dinning akapate breakfast yake. Mtile chai au maziwa kwenye kikombe mwachwe anywe huku unamzungumzisha mazungumzo mema yenye upendo na furaha  muulize atapendelea ninii kula Lunch yake kwa siku ile. 
_

_ 💟.Akimaliza kunywa break fast,mbebee brifcase, au mkoba wake wa ukili chochote alichonacho kulingana na uwezo wenu wanandoa ongozaneni  kwenda kwenye gari,  au vespa, baskeli, hata ikiwa kwa miguu huku umemshika kiuno,au mkono mfungulie mlango wa gari,ikiwa ni gari mkumbatie mpe busu,then mfungie mlango wa gari, muombee dua , na mtakie kazi njema drive safe honey.

Ndoa zenye furaha na amani zipo na zinawezekana wali wangu...ni vitu vidogo ambavyo unaweza kuvidharau  lakini vina-matter sana. Cheza nafasi yako..hii haitompa raha tu mumeo...hadi nawe utakua na Amani.




  NAFASI MPYA ZA KAZI KWA WENYE ELIMU KUANZIA DARASA LA SABA ,KIDATO CHA NNE,CERTIFICATE,DIPLOMA,DEGREE NA KUENDELEA ZIPATE KUPITIA AJIRA FORUM APP 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4