Ads Right Header

Buy template blogger

Jinsi ya kusimamisha Titi lilolala uwe chuchu saa sita




Wadada na Wanamama wengi wamekuwa wakihangaika kwa muda mrefu kutafuta ufumbuzi wa kusimamisha matiti yaliyolala pasipokujua kwamba zipo njia salama za asili za kutatua changamoto hiyo.

SABABU ZA MATITI KULALA

Afya kuwa mbovu ( kansa za matiti na magonjwa ya ngozi)
Kuzaa au kupata Mimba mara kwa mara ( Hata kama hujazaa kama unamchezo wa kuruka ruka na kushika mimba kisha kuichomoa mara kwa mara lazima yalale mwali wangu tambua hilo)
Kurithi
Kutokuvaa bra na uvaaji mbaya wa bra ( wengine huwa wanafanya mazoezi kama ya kukimbia  na kuruka wakiwa wamevaa bra sizo au hawajavaa kabisa...kuna bra  maalum za jogging mpenzi👌 zitafute)

NJIA ZA KUSIMAMISHA MATITI 💋Kwa kutumia yai, Vitamin E na Mtindi
MAHITAJI

Yai bichi moja au mawili
Mtindi robo lita
Vitamin E : Mafuta ya Alizeti robo lita
MAANDALIZI 💋Chukua ute wa yai moja bichi kisha changanya na robo lita ya mafuta ya alizeti na mtindi, Koroga vizuri huo mchanganyiko kwa dakika 10 na hapo utakuwa tayari kwa matumizi.
MATUMIZI 💋💋💋💋Pakaa huo mchanganyiko kwenye matiti kuelekea chuchu za matiti yako mara moja kwa siku.
MATOKEO 💋💋💋💋Siku ya 7 baada ya kutumia dawa hii utapata matokeo mazuri
Endelea kutumia dawa yako hadi utakapopata saizi ya matiti uipendayo. (Hata kama ww unachuchu saa sita👌👌) Jitahidi pia uwe unafanya mazoezi ya push ups na kuogelea huimarisha misuli na ngozi ya maeneo hayo... Jitahidi pia uwe na namna nzuri pia ya kukaa/kusimama.


Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4