Wednesday, 19 March

Ads Right Header

Buy template blogger

KMC YAWATAKA MASHABIKI KUCHUKUA TAHADHARI YA VIRUSI VYA CORONA

KMC YAWATAKA MASHABIKI KUCHUKUA TAHADHARI YA VIRUSI VYA CORONA

UONGOZI wa KMC umesema kuwa ni muhimu kwa kila mmoja kuchukua tahadhari ya Virusi vya Corona ili kuwa salama.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa KMC, Anwar Binde amesema kuwa mambo mengi yamesimama kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona hivyo ni busara kila mmoja kuchukua tahadhari

"Kwa sasa mambo mengi yamesimama hivyo kwa wale ambao watakuwa hawachukui tahadhari ni busara iwapo wataamua kuchukua tahadhari.


"Kinachotakiwa ni kila mmoja kujali na kuchukua tahadhari kwani  Virusi vya Corona vipo," amesema.

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4