Ads Right Header

Buy template blogger

USIOGOPE MABADILIKO

AFRICAN LOVE SONG; A Poem Depicting The Typical Traditional Love ...
*USIOGOPE MABADILIKO* 
"Mabadiliko ni kitu ambacho hakikwepeki kwenye maisha, kama wewe utagoma kubadilika, basi mazingira yanayokuzunguka yatabadilika.

Na pale unapostuka na kugundua mazingira yamebadilika, basi jua umeshaachwa nyuma.


Watu wengi wamekuwa wanaogopa kufanya mabadiliko kwenye maisha yao kwa sababu mabadiliko ni magumu.


Pia mabadiliko yanamaanisha kuachana na kitu ambacho mtu umezoea na kwenda kwenye kitu ambacho mtu huna uhakika nao.


Unafikiri kwa nini watu wengi hung’ang’ana kwenye ajira ambazo zinawalipa kidogo kwa miaka mingi na wasithubutu kuondoka na kuingia kwenye biashara ambazo zinaweza kuwalipa zaidi? Wengi wanapenda kipato kidogo cha uhakika, kuliko kipato kikubwa kisicho cha uhakika."
Jifunze Kufanya Mabadiliko🙏🏿


  NAFASI MPYA ZA KAZI KWA WENYE ELIMU KUANZIA DARASA LA SABA ,KIDATO CHA NNE,CERTIFICATE,DIPLOMA,DEGREE NA KUENDELEA ZIPATE KUPITIA AJIRA FORUM APP 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4