USITEGEMEE MATOKEO YA HARAKA
*USITEGEMEE MATOKEO YA HARAKA* .
Watu wengi wapo tayari kuweka mipango mikubwa, na wapo tayari kuchukua hatua ili kufikia mipango yao, ila wengi wanakosa uvumilivu, na hilo ndiyo linawazuia kufanikiwa.
Hakuna mafanikio ya haraka, hakuna njia ya mkato ya kufika kwenye mafanikio makubwa.
Na hata ikiwepo njia ya aina hiyo, matokeo yake huwa siyo mazuri mwishoni.
Kama unataka mafanikio ya kweli na yanayodumu, kama unataka kuwa na maisha bora na yenye furaha, Amy anatuambia tunapaswa kuwa wavumilivu na wenye subira.
Licha ya kuweka juhudi kubwa, tunapaswa kuweka subira, tukijua mambo mazuri hayataki haraka.
Na kadiri tunavyotegemea matokeo makubwa, ndivyo tunavyopaswa kuwa na subira zaidi.
NAFASI MPYA ZA KAZI KWA WENYE ELIMU KUANZIA DARASA LA SABA ,KIDATO CHA NNE,CERTIFICATE,DIPLOMA,DEGREE NA KUENDELEA ZIPATE KUPITIA AJIRA FORUM APP 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment