Saturday, 15 March

Ads Right Header

Buy template blogger

Virusi vya corona: Watu 819 wamefariki nchini Saudia


Watu 112, 288 wameambukiwa virusi vya corona nchini Saudia.

Watu 819 nchini Saudia wameripotiwa kufariki kutokana na maambukizi ya virusi vya corona tangu kuanza kwake mwishoni mwa mwaka 2019 nchini China.

Virusi vya corona nchini Saudia  tayari vimekwishasababisha vifo vya watu 819.

Idadi ya kesi mpya za maambukizi ya virusi hivyo nchini humo inazidi kuongezeka  Saudia, watu   112, 288 wameambukiwa , watu 77, 954 wamepona  huku watu 819 wakiripotiwa kufariki.

Wizara ya afya ya Saudia imesema kuwa watu 3, 717 wamegunduliwa kuwa na maambukizi ya  virusi vya corona  ndani ya masaa 24.

  NAFASI MPYA ZA KAZI KWA WENYE ELIMU KUANZIA DARASA LA SABA ,KIDATO CHA NNE,CERTIFICATE,DIPLOMA,DEGREE NA KUENDELEA ZIPATE KUPITIA AJIRA FORUM APP 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4