Corona yasababisha kupungua kwa maombi ya kutafuta hifadhi barani Ulaya
Ofisi inayoshughulika na maombi ya hifadhi barani Ulaya EASO imesema leo kuwa idadi ya maombi ya hifadhi barani humo ilipungua kwa asilimia 87 mwezi Aprili kufikia kiwango cha chini kabisa tangu mwaka 2008 kutokana na hatua zilizochokuliwa kukabiliana na kusambaa kwa virusi vya corona .
Katika taarifa, ofisi hiyo imesema kuwa ni maombi 8730 yaliosajiliwa hii kikiwa kiwango cha chini kabisa katika muda wa miaka 12 iliyopita na punguzo kubwa kutoka idadi ya kabla ya janga la virusi vya corona mnamo mwezi Januari na Februari.
Hii ni kutokana na ripoti katika eneo linauhusisha Umoja wa Ulaya, Norway na Uswisi.
NAFASI MPYA ZA KAZI KWA WENYE ELIMU KUANZIA DARASA LA SABA ,KIDATO CHA NNE,CERTIFICATE,DIPLOMA,DEGREE NA KUENDELEA ZIPATE KUPITIA AJIRA FORUM APP 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment