Chelsea yafukuzia saini ya Kai Havertz
Klabu ya Chelsea inataka kumsajili Kai Havertz kutoka klabu ya Bayer Leverkusen kwenye diridha hili la kiangazi.
Leverkusen hawajapokea maombi kwaajili ya mchezaji huyo mwenye miaka 20 lakini inaaminika kwamba vilabu vya Real Madrid na Bayern Munich vilifanya mazungumzo na klabu hiyo ya Ujerumani kwaajili ya Havertz.
NAFASI MPYA ZA KAZI KWA WENYE ELIMU KUANZIA DARASA LA SABA ,KIDATO CHA NNE,CERTIFICATE,DIPLOMA,DEGREE NA KUENDELEA ZIPATE KUPITIA AJIRA FORUM APP 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Leave Comments
Post a Comment